UNAWEZA UKAZIVAA KWA AJILI YA KUMPA HAMU YA KUPATA RAHA MWANAUME..
Asilimia kubwa ya wanaume wakiona kiuno kimevalishwa shanga,haijalishi kama ni barabarani au ndani ya basi,Lazima mashine zao zipate shida ya kujizuia kusimama bila kupenda.Ki ukweli ukiziona shanga zipo kiunoni lazima upate hamu kama wewe ni mwanaume wa ukweli,kwahiyo kama huna mazoea ya kuzivaa,na ulikuwa unapenda kufanya au kuongeza kitu kipya kwenye uwanja wenu wa kupeana raha na utamu,basi nenda kanunue shanga,kisha uzivae ukiwa peke yako kwa ajili ya kumsuprise mpenzi wako.
Utajua kama anazipenda kwa jinsi atakavyokuwa bize kuzishikashika na kuzitomasa muda wote mkiwa mnapeana raha.