Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

EE0F4sZWkAAxuoV.jpg
 
WANTED
jina : shimba ya buyenze
amepotea : tokea mechi ya yanga na zesco.

  • ameondoka nyumbani kwa wajukuu zake akiwa amevalia bukta manjano, fulana kijani na ndara kijani.
  • ana matatizo ya kupenda wanawake wenye makalio makubwa
  • hana tatizo la akili japokuwa ana miaka 96 ya kuzaliwa.
atakayemuona apige simu namba 0877123456
Unae mtafuta kuna sehemu ameonekana na skania wanu wanu kitaa... Yupo salama anatetea heshima ya ukoo....
Shemejiiiiiii.... Whera yuuu??
tapatalk_1566247618804.gif
 
WANTED
jina : shimba ya buyenze
amepotea : tokea mechi ya yanga na zesco.

  • ameondoka nyumbani kwa wajukuu zake akiwa amevalia bukta manjano, fulana kijani na ndara kijani.
  • ana matatizo ya kupenda wanawake wenye makalio makubwa
  • hana tatizo la akili japokuwa ana miaka 96 ya kuzaliwa.
atakayemuona apige simu namba 0877123456
😀😀😀😀😀😀Nimemuona huku Vingunguti na jimama lina bonge la chura.
 
Back
Top Bottom