capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Wapi hiyoo...
Unae mtafuta kuna sehemu ameonekana na skania wanu wanu kitaa... Yupo salama anatetea heshima ya ukoo....WANTED
jina : shimba ya buyenze
amepotea : tokea mechi ya yanga na zesco.
atakayemuona apige simu namba 0877123456
- ameondoka nyumbani kwa wajukuu zake akiwa amevalia bukta manjano, fulana kijani na ndara kijani.
- ana matatizo ya kupenda wanawake wenye makalio makubwa
- hana tatizo la akili japokuwa ana miaka 96 ya kuzaliwa.
๐๐๐๐๐๐Nimemuona huku Vingunguti na jimama lina bonge la chura.WANTED