moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mahari inategemea na familia na binti jinsi anataka sherehe yake iwe binafsi mimi ishaalah binti wangu nitamuozesha atakapo elewana na mtarajiwa wake hata akisema buku jero namuozesha.wazee wa kisasa muna matatizo husuani wanawake mpaka nawashangaa.
mahari ya zanzibar
cha ajabu vitu vyote hivyo mwanamke anakwenda kutumia na mwanamme.
- kitanda futi 6
- kabati la milango miwili
- showcase furniture.
- vyombo
- khanga pair 100
😂 😂 😂 😂wazee wa kisasa muna matatizo husuani wanawake mpaka nawashangaa.
mahari ya zanzibar
cha ajabu vitu vyote hivyo mwanamke anakwenda kutumia na mwanamme.
- kitanda futi 6
- kabati la milango miwili
- showcase furniture.
- vyombo
- khanga pair 100
Mandhari nzuri....
binti wangu nitamuozesha atakapo elewana na mtarajiwa wake hata akisema buku jero namuozesha.Mahari inategemea na familia na binti jinsi anataka sherehe yake iwe binafsi mimi ishaalah binti wangu nitamuozesha atakapo elewana na mtarajiwa wake hata akisema buku jero namuozesha.
Vipi na J mosi walikupongeza kama walivyokupa pole siku tumepoteza?Goodnight Fam💚
Si majamaa mlikosekanaVipi na J mosi walikupongeza kama walivyokupa pole siku tumepoteza?