D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
kuwa bwege kwenye ndoa tafsiri yake ni kwamba mmoja wao kati ya mke au mume ajikubalishe kuwa mtumwa wa mwenzake kifikra, kimaamuzi na hata kihisia.Hivi huu msamiati bwege una maana gani isije kuwa mimi nimeelewa vibaya 🤔
mtumwa ndiye asiyekuwa na uhuru wa kumchallenge bosi wake.
mtumwa hana uhuru wa kujiamulia ni muda gani apumzike.