Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

wazee wa kisasa muna matatizo husuani wanawake mpaka nawashangaa.

mahari ya zanzibar
  1. kitanda futi 6
  2. kabati la milango miwili
  3. showcase furniture.
  4. vyombo
  5. khanga pair 100
cha ajabu vitu vyote hivyo mwanamke anakwenda kutumia na mwanamme.
Mahari inategemea na familia na binti jinsi anataka sherehe yake iwe binafsi mimi ishaalah binti wangu nitamuozesha atakapo elewana na mtarajiwa wake hata akisema buku jero namuozesha.
 
Mahari inategemea na familia na binti jinsi anataka sherehe yake iwe binafsi mimi ishaalah binti wangu nitamuozesha atakapo elewana na mtarajiwa wake hata akisema buku jero namuozesha.
binti wangu nitamuozesha atakapo elewana na mtarajiwa wake hata akisema buku jero namuozesha.

Hawachi
mpendwa tafadhali usije ukalikanusha hili tamko lako.
nitafurahi zaidi kama mtoto wako atahitaji kiwango cha mali kitakachomuwezesha ajiendeshe kimaisha akiwa kwenye ndoa.

kwa uelewa wangu mimi kitanda, godoro, vyombo, kabati na makaazi vyote hivi ni wajibu wa mwanamme kuwa navyo wakati anajiandaa kufunga ndoa.
haiwezekani mwanamke adai kitanda kama mahari yake wakati kiuhalisia haiwezekani mke na mume walale chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…