myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ndo siioni tena!!!!
Hii topic ngoja nikaifatekuna nyuzi fulani ya kibabe nilimuona mchumba wangu wa usingizini muheshimiwa Depal binafsi nilibaki mdomo wazi kama niliyetafunwa na mende wa chooni.
nilimuona kwenye uzi wa marekani chini ya donald trumpet
View attachment 1215135
Hahaha afadhaliNdo siioni tena!!!!
Laumu tabia 😂😂Moyo umesalitika na sababu macho yangu
Na ninadhirika nimekiri wenzangu
Mwisho nitafedheheka kupenda kitu si changu
Ni laumu macho yangu au moyo nambieni?
Hmm wapi huko?kuna nyuzi fulani ya kibabe nilimuona mchumba wangu wa usingizini muheshimiwa Depal binafsi nilibaki mdomo wazi kama niliyetafunwa na mende wa chooni.
nilimuona kwenye uzi wa marekani chini ya donald trumpet
View attachment 1215135
😀Nakuona leo .. nakuona unacharaza mistari tu.... huyo Bibi mwenye nywele kama mhindi wa chato amekubamba haswaa...Moyo umesalitika na sababu macho yangu
Na ninadhirika nimekiri wenzangu
Mwisho nitafedheheka kupenda kitu si changu
Ni laumu macho yangu au moyo nambieni?