Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Upendo huu hupatikana kwa kujifunza, kujiuliza maswali ya msingi, kufanya tafiti na hatimae kupata majibu juu ya tatizo au kitu kinachosumbua au hakikuwa na majibu katika jamii fulani.
🙏🙏🙏Kuelekea jioni,
Mungu atupe afya na uzima
AsantePoleni wakulima wote
Heshima yako Mkuu!Kila mtu anastahili kuheshimiwa..