Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ duh! Me najua sembe ni ile ya unga tu, kumbe hata pilau, wali na chochote kitokacho kwa ngano ni sembe?!
Aisee we mpemba wewe πŸ˜‚πŸ˜‚
 
ASILIMIA 30 YA WATOTO NCHINI WAMEDUMAA, CHANZO KUTOKUJUA KUPIKA
-
Waziri wa Afya, Dkt. Faustine Ndugulile, amesema asilimia 30 ya watoto hapa nchini wamedumaa huku asilimia 5 ya watu wazima hasa kina baba wakiwa na viribatumbo
-
Amesema tatizo hilo linasababishwa na watu kutokujua kupika kwani wanatumia mafuta mengi katika vyakula, wanakula vyakula vyenye sukari nyingi na kusababisha watoto wao kudumaa kutokana na kushindwa kupatiwa lishe inayostahili

=======================================================================================
watajuaje kupika na muda wote wanahangaika na maisha.
wakirudi nyumbani wanapika sembe.
leo mutanikoma
 
Mikoa ambayo inalima vyakula vingi kama Mbeya na Songwe ndiyo inayoongoza kwa watoto kudumaa kutokana na kushindwa kupangilia chakula
-
Amesema, Vyakula vingi vinatakiwa kupikwa kwa kuchemshwa na sio kujaza mafuta kama watu walivyozoea. Pia, utumiaji wa nazi nao unachangia kwa kiasi kikubwa ongezeko la viribatumbo na udumavu kwa watoto
 
forodhani,
usitoke nyumbani kwenu na shilingi 2000.
utarudi kwenu unanuka njaa inayochangiwa zaidi na upepo wa bahari unaombatana na harufu ya vyakula
View attachment 1216698
Mnakula kula mno hadi vichogo vinapotea πŸ˜‚ yani kila nikiona jina lako nakumbuka comment yako
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…