Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
😂😂😂😂😂😂😂watajuaje kupika na muda wote wanahangaika na maisha.
wakirudi nyumbani wanapika sembe.
leo mutanikoma
Oh! Basi balaa hiyoyes, akijiangalia ameshakunywa chupa nyingi za beer na hela hana.
huogopi pambano la jamaa?Jamaniiieee soon numby anarushwa JF njoeni mshuhudie
Ankali(anko)na simu yake ya mezani
Basi anko anakuja mujini kusalimia ndugu Haloo ulisema nishukie wapi?www.jamiiforums.com
Siogopi mie kajamaa kanatetemeka huko kalipo hadi huruma yaanihuogopi pambano la jamaa?
kila la kheri dada yangu.Siogopi mie kajamaa kanatetemeka huko kalipo hadi huruma yaani
Unalala saa ngapi?
ok kila la kheri dada yangu.Siogopi mie kajamaa kanatetemeka huko kalipo hadi huruma yaani
Sasa utajuaje? 😂Wewe ukilala
Sasa utajuaje? 😂
Me nalala kabla ya 10:15
Jamani 😂😂😂😂😂😂🏃Kwa jinsi unavyokoroma nitajua tu
Jamani 😂😂😂😂😂😂🏃
Hey Depal,
Mambo?Hey Depal,