D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
bora umwambie, ameshikilia kicomputer changu kibovu kama kipanya kilichoona mkate.π msalimie, mwambie aache simu akaandae chai
Ooh! Mwambie vya Baba watoto havichunguliwi ππbora umwambie, ameshikilia kicomputer changu kibovu kama kipanya kilichoona mkate.
kila ninachoandika na yeye anasoma kama kasuku.
ni makosa yangu, nimempa uhuru anichagulie mpaka nguo ya kuvaa.Ooh! Mwambie vya Baba watoto havichunguliwi ππ
Ndio mahaba mahabani!!ni makosa yangu, nimempa uhuru anichagulie mpaka nguo ya kuvaa.
nimempa password zangu zote, siku nyengine ndio ufahamu huchati na daemusin.
kazi kwako.Ndio mahaba mahabani!!
Siku moja nitamfanyia makusudi ya kumshtua nikijua yupo yeye Na kicomputer chako
π πTumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuamsha tuione siku nyingine [emoji120][emoji120]
Mungu atupe siku njema
Khee! ππππkazi kwako.
bidada anapiga ngumi kwa njia ya keyboard kuliko JET Li.
akikunyofoa pua yako usije ukatoa malalamiko cause nimeshakupa tahadhari.
kwa jinsi ninavyompenda hata akinitoa ndani saa 8 usiku wala sijali,
ameshaniambia leo hapiki chai na nimemwambia ahsante honeyyyyyyy nitakunywa maji matupu kama samaki.