D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Ni wakati huo ndio vita baridi ikishika kasi na Mataifa mengi ya Afrika yakijipatia uhuru kutoka kwa Wakoloni. Mengi yakiogopa kufuata sera za kijamaa na kushirikiana na Mataifa Makubwa ya kijamaa kama China na Urusi kwa hofu ya kutengwa, kuwekewa vikwazo na kunyimwa misaada na Wakoloni wao wa zamani ambayo ni Mataifa ya kibepari ya Ulaya Magharibi. Ndipo china ilipotoa hakikisho kwa mataifa hayo kuwa: