Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Edward Mordake wa Uingereza alizaliwa mwaka 1887 akiwa na sura mbili, moja ya kawaida na nyingine ilikuwa kisogoni mwake. Sura hiyo ya pili ilikuwa haiwezi kuona, kula wala kuongea kwa sauti, isipokuwa ilikuwa ikitabasam pale alipokuwa na furaha na kulia pale alipokuwa na huzuni
View attachment 1217414

umkute njiani usiku anakwenda haja ndogo (sura moja itaelekea mbele na nyengine nyuma),
mamaaaaaaaaaaaaa utakwenda mbio mpaka MAKKAH.
ukifika kwenu unaulizwa vipi?

unapumua aahhhhhhhh nimekutana na steringi wa kihindi
Daah ni maajabu ya hatari sana
 
😡😡
vita ilikuwa inapiganwa sehemu nyengine kati ya mafahari wawili cha ajabu woga ulikuwa upande wangu mimi.
nikizisoma comment za yule jamaa namuona yupo serious lakini nikizisoma comment za numbisa yuko vile vile harudi nyuma kimsimamo kama waarabu wanapoamua kufanya maandamano.

🙁🙁
sivutiwi kabisa na ishu za kudhalilishana mbele ya hadhira ndio maana nilikuwa natamani numbisa apotezee ile ishu lakini wapiiii binti ana mshipa wa ubishi kama muizraili.

alfajiri nilipoamka nikautafuta kwanza ule uzi niangalie huyu mtu ninayemuheshimu hawajamfanyia vitendo vya kibaharia?

afadhali upepo umetulia​
Ningepotezea pale ingekula kwangu angenifatafata kila kona ya JF na kutamba ananifahamu wakati hata hajawahi daka like yangu.

Wabishi kama wale ni kwenda nao hivyo hivyo. Vitisho vingi havikua na uhalisia na alikua anabadilibadili maneno mara baharia wa ghana mara yupo mbali mara hanifahamu simfahamu ila na picha na video

Naona alifata mazoea na vitisho vya facebook
 
Francisco Totti
FB_IMG_1569582747205.jpeg
FB_IMG_1569565876560.jpeg
 
Back
Top Bottom