D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
usibebe Niko na 7800 itakutoshanguo ya rangi manjano wewe vaa.
sharti jengine
nitakuja na nauli yangu ya kurudia
hata nusu tiketi sipatiusibebe Niko na 7800 itakutosha
Shwain zake πHahahahaha Anakwambia yupo mbali sana hawezi kushtakiwa
ππππ aisee!π‘π‘
vita ilikuwa inapiganwa sehemu nyengine kati ya mafahari wawili cha ajabu woga ulikuwa upande wangu mimi.
nikizisoma comment za yule jamaa namuona yupo serious lakini nikizisoma comment za numbisa yuko vile vile harudi nyuma kimsimamo kama waarabu wanapoamua kufanya maandamano.
ππ
sivutiwi kabisa na ishu za kudhalilishana mbele ya hadhira ndio maana nilikuwa natamani numbisa apotezee ile ishu lakini wapiiii binti ana mshipa wa ubishi kama muizraili.
alfajiri nilipoamka nikautafuta kwanza ule uzi niangalie huyu mtu ninayemuheshimu hawajamfanyia vitendo vya kibaharia?
afadhali upepo umetulia
Rafiki mkubwa wa Nyerere. RipZhou Enlai (tamka Chou En-lai) anatajwa kuwa miongoni mwa wanadiplomasia mashuhuri kabisa kuwahi kutokea nchini China na barani Asia. Alihudumu katika cheo cha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya watu wa china kuanzia Octoba 1949 hadi Januari 1976 na wakati huo huo akitumikia cheo cha Waziri wa mambo ya nchi za nje wa China kati ya mwaka 1949 hadi mwaka 1958.
weweeeee unajua yule jamaaa alinitisha vibaya sana na ile mikwala yake ya mbuzi jike.ππππ aisee!
Mimi sikua na wasi wasi maana namjua vyema binti yetu ni mtulivu hawezi kufanya huo ushenzi au akifanya basi hawezi kuacha ushahidi wowote π
babu uliwahi kumuona huyo mzee?Rafiki mkubwa wa Nyerere. Rip