Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Waliotoboa ni wawili ,tu...masanja na Joti

Wengine kama walikuwa wanatembelea nyota zao..wamepotea kama mshumaa

Hasa Seki toka enzi za ITV 2
Duh!Hivi yuko wapi?Yaani lile kundi lao Masanja 1,Joti 2,Mpoki 3,Mama ema haeleweki,Makregan anashinda baa tu pale escrow(kigambon) kuomba bia kama kachanganyikiwa hivi.Maisha haya hatujui kesho yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…