Mirlz B Matthew
JF-Expert Member
- Oct 10, 2011
- 2,216
- 3,117
Kitambo namkumbuka kwenye city sound na maigizo ya mambo hayo...kabla ya kuibuka na ze comedy....sijui yupo wapi
wewe ni she au heivi jamani yule kaka aliekuwa anaigiza na kina Joti, anaitwa Seki, sikuhizi yupo wapi
Sidhani Kama na mpoki nae kachokaWaliotoboa ni wawili ,tu...masanja na Joti
Wengine kama walikuwa wanatembelea nyota zao..wamepotea kama mshumaa
Hasa Seki toka enzi za ITV 2
Waliotoboa ni wawili ,tu...masanja na Joti
Wengine kama walikuwa wanatembelea nyota zao..wamepotea kama mshumaa
Hasa Seki toka enzi za ITV 2
Kafuliaivi jamani yule kaka aliekuwa anaigiza na kina Joti, anaitwa Seki, sikuhizi yupo wapi
Nafurahi pia bro..Jambo jema bro nafurahi kukuona hapa ndani....
#TISSkazini [emoji16]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha hivi vichapo sio kabsa,,,leo usiku sijui hata itakuwaje.. timu yetu imekuwa kichwa cha mwendawazimuHahahahaha andaeitin bana hivi vichapo mfululizo vya man u vinachanganya wengi. Za ulipokua?
#hopehujamuibawakishua
#naekaadimika
#kingpoleyake
Ankoo heshima yako? Nyumban hawajamboKwa upande wa kuongeza nguvu za kiume vipi?!!!
#parachichilikilainikasanakonokononaehusinyaa...
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Wewe mpaka siku wakukute umekaukia kufuani kwa Mama Havijawa ndio utaachana na habari ya hii maneno! [emoji16][emoji16]
Numby Numby,Hahahahaha Anakwambia yupo mbali sana hawezi kushtakiwa
Bro upo?Nafurahi pia bro..
#TISSkatisha [emoji2][emoji2]
Hahahahaha andaeitin bana hivi vichapo mfululizo vya man u vinachanganya wengi. Za ulipokua?
#hopehujamuibawakishua
#naekaadimika
#kingpoleyake
Nipo bro, kwema aisee?Bro upo?
Kitambo sana ni Tanga au majukumu tuu?
Nimeona mguu wa shampeniHumu ndani naona kuna wageni [emoji23][emoji23]