stewie
Senior Member
- Sep 30, 2019
- 118
- 285
zinauzwa jamani tuunganisheni , google nexus 6p kwa 300,000 na Lg g5 kwa 280,000 , maongezi kidogo yapo
😂😂 yaani nilivyopata notification umelike nimekimbia kufuta chapNimeona mguu wa shampeni
[emoji23][emoji23]nmeona tayali... ngoja ni subscribe kabsa ule uzi, una mambo mazuri [emoji39][emoji23][emoji23] yaani nilivyopata notification umelike nimekimbia kufuta chap
mambo ya kule ni 🔥🔥[emoji23][emoji23]nmeona tayali... ngoja ni subscribe kabsa ule uzi, una mambo mazuri [emoji39]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wee mzee mwenzio nahangaikia heshima ya ndoa.Wewe mpaka siku wakukute umekaukia kufuani kwa Mama Havijawa ndio utaachana na habari ya hii maneno! [emoji16][emoji16]
Pendeza sana hiyo mandhari
Mwanamalundi "ze don" mwenyewe kutoka kanda pendwa.... Wazee wa [emoji230][emoji233][emoji243][emoji350]mmooooo...