Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1569797633729.jpeg
 
Seki siku hizi yupo nyuma ya MATAGA. Yeye ndio mastermind wa hii initiative.

MATAGA means Make Tanzania Great Again. Ni twin slogan ya MAGA - Make America Great Again ya bwana Trump.

Seki always amekuwa mtu wa behind the scenes.
Hahaha huuuu msemo unanipaga maswali mengi sana ivi ni lini tz tulikuwa great?
 
ivi jamani yule kaka aliekuwa anaigiza na kina Joti, anaitwa Seki, sikuhizi yupo wapi
Sekioni hakua anaigiza labda tu umemfananisha na Vengu..Seki alikua kama ni kiongozi wa kundi,muandaaji na mtayarishaji wa vipindi vya ze comedy baadae orijino comedy..kwa sasa yupo yupo tu mjini na CCM yake
 
ivi jamani yule kaka aliekuwa anaigiza na kina Joti, anaitwa Seki, sikuhizi yupo wapi

By the way kila mtu analake but mimi sekioni namfahamu kidogo naisi since anatanganza EATV , na kingine Seki ni mastermind ya vitu vingi hakuwai kuingiza na Original Comedy bali alikua ni Kiongozi wa kundi na Manager.
Kuhusu ukimya yah ni kweli jamaa yuko kama vile hayupo but trust me yule jamaa ndo ametoboa kuliko wengine tatizo lake sio mtu wa media.

Kunakipindi nlikua naskia haishi kwenda ikulu enzi za Jakaya coz ni mfanya biashara anaedeal na usafirishaji wa Nafaka kama Mahindi na Mchele nchi za Scannavia.

Jamaa ameoa kama skosei mwaka 2015/2016 baada ya kuacha kufunua sana sketi za mabint wa dsm walio kua na shobo so now ana familia na Ameamua kuachana na Maisha ya Media but naisi katika vijana ambao wanamafanikio yeye yumo kuliko ata kina Masanja na Joti.

NB Mtu asiulize nimejuaje jibu simple tu ninafahamiana na mtu anaemfahamu sana na anaukaribu nae
 
Back
Top Bottom