Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Basi ni jambo jema pia nafurahi kukuona hapa muda huu.....Tunashukuru Mungu ni Mwema siku zote...
Mishemishe zimeisha?
Njema kabisa, Mungu anasaidia.Bro nimekuhamu, za kuadimika?
Hamna watoto hapa
ASANTE sana dadangu mwema. Nipo. Ni majukumu tu yalibana lakini Mungu Anasaidia. Wewe hujambo? Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]SHIMBA YA BUYENZE nimekumiss Kakaangu mpendwa.....hope all is well
Yaani umeishiwa hadi emoj bro?Ile emoj ya mtu anakimbia ikae hapa
Jamani jamani[emoji3]
Huku salama kabisa.Njema kabisa, Mungu anasaidia.
Vipi huko?
#NasubiriaWatotoWalaleTonight
Already found/captured....WANTED
jina : shimba ya buyenze
amepotea : tokea mechi ya yanga na zesco.
atakayemuona apige simu namba 0877123456
- ameondoka nyumbani kwa wajukuu zake akiwa amevalia bukta manjano, fulana kijani na ndara kijani.
- ana matatizo ya kupenda wanawake wenye makalio makubwa
- hana tatizo la akili japokuwa ana miaka 96 ya kuzaliwa.
Umeona hali ya hewa ilivyochange ghafla
After long waitASANTE sana dadangu mwema. Nipo. Ni majukumu tu yalibana lakini Mungu Anasaidia. Wewe hujambo? Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Bro, kwema?ASANTE sana dadangu mwema. Nipo. Ni majukumu tu yalibana lakini Mungu Anasaidia. Wewe hujambo? Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ati nini?Volume ipo juu sana bro, punguza kidogo atasikia huko aliko [emoji16][emoji16][emoji16]
Toka nje uoneImechange ikawaje
Nipo kamanda. Za siku mbili tatu hivi?Hahahaha,
Wapi SHIMBA YA BUYENZE [emoji23][emoji23]