Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Huku nilishapigwa ubrozone muda tuWakati wengine tunapambana kujitoa huko muda huo wengine ndio mnakomaa kuingia kweli maisha hayana mfumo
Ni kweli bro, maisha yanaenda kasi sana kikubwa ni uzima tu.. Nimefurahi kukutana tena hapaMajukumu hayaishi bro. Kanafasi kakipatikana basi tunakutana hapa (In King's voice)...
Hahah! Kupambana kujikwamua umeshindwa naona umekubali yaisheHuku nilishapigwa ubrozone muda tu
Mimi bado mdogo [emoji2]Halafu huu msemo huu!
Kwani wewe unakua lini?[emoji3]
Hahahaaha ninge banaHahahah
#hawezikukubari
#kingpinduamezakibabe
Haya hebu jiangalie kwa mtizamo mwingine kwanza...Mimi bado mdogo [emoji2]
Nimeona bora yaishe hahaHahah! Kupambana kujikwamua umeshindwa naona umekubali yaishe
Jay na mkewe itawauma hii
Upo vizuri Fragy.. naona umenitafutia bandiko kabsa nisome,,, asante sanaHaya hebu jiangalie kwa mtizamo mwingine kwanza...
View attachment 1220619
WaWaao ubunifu bomba kabisa
Hahah nmeachaHahahaaha ninge bana
#nakusemakwawakishua
Afu unakutana na numby type hii😂😂😂
#Nitakuadrevabodabodasasahivi