Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Binti yako Yule mpole aliingia kwenye mtafaruku na jamaa kutoka Ghana akatishiwa kuanikwa picha zetu zile....

Mambo nini bro?
Nimeiona hiyo link nikaifuatilia kidogo. Vintage Esta pyua katika urolo modo wake. Jamaa kapachikwa ushosti lakini yeye amewaka kutoa vitisho visivyo na kichwa na miguu. Naona mpaka ulimpa na kishwaini chake kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]

Mimi poa kabisa. Nilikuwa safarini tu lakini kila kitu kimekwenda vyema [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Hahah!

Tupo pamoja bro
 
Screenshot_20191001-104707.jpg
 
Back
Top Bottom