Nigeria Leo inasherehekea kumbukumbu ya uhuru wake.
Nigeria ilitawaliwa na Uingereza.
Barani Afrika nchi hiyo inaonekana ndiyo pekee iliyopitia misukosuko mingi ya kiutawala baada ya kupata uhuru wake.
Tofauti na nchi nyingine zilizopita kwenye vita kali ya wenyewe kama vile, Rwanda, Angola, Sierra Leone, Congo DR, Republic of Congo,Somalia, Central Africa nk.
Nigeria nayo ilipita kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe.
Vita vya Biafra jul 6 1967- Jan 15 1970.
Tofauti ya Nigeria na mataifa mengine, nchi hiyo imepitia kwenye tawala za kiimla, pengine kuliko nchi zote barani humu.
General Ibrahim Babangida