Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
IMG-20191001-WA0011.jpeg
 
Nigeria.
Ilipata uhuru wake Octoba 1 mwaka 1960. Waziri Mkuu wa kwanza na wa mwisho wa nchi hiyo alikuwa ni Abubakar Tafawa Balewa (pichani chini).
Alihudumu kuanzia oktoba 1 1960 mpaka January 15 1966 alipopigwa risasi kwenye mapinduzi ya umwagaji damu yaliyoongozwa na Meja Jenerali Johnson Aguiyi-Ironsi
FB_IMG_1569941010073.jpeg

Abubakar Tafawa Balewa
 
[emoji125][emoji125][emoji125]"...kwani kitayeyuka? ....."
Kwa maana nyingine "kitumike kizoee kazi"...
Sijui lini nitakutana na hiyo kauli 'fizikale'!??!!
Yaani ni kuchimba tuuu... Una lala unaamka unachimbua tu. Kazi yangu iwe ni kuchimba tu kwa siku zangu zote za kwenye stoke zilizo bakia hapa duniani... "kwani kitayeyuka?" Aaa wapi...
Anko bana.. Wee wachimba tuuu eeh...
 
Dr, Chif Benjamin Nnamdi Azikiwe.
Azikiwe alikuwa rais wa Nigeria baada ya nchi hiyo kuwa jamuhuri mwaka 1963.
Ametawala chini ya Waziri Mkuu Tafawa Balewa kati ya oktoba 1 1963 mpaka januari 16 1966, baada ya Meja Jenerali Johson Aguiyi-Ilonsi kunyakuwa madaraka ya nchi hiyo kimabavu
FB_IMG_1569946566130.jpeg
 
Back
Top Bottom