Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siyo wote wanaotangatanga wamepotea
b0308667-24f4-4ab5-8ac0-804149b299e9.jpeg
 
Nilipokuona uliniona
Ewe ua waridi jipya kondeni
Ulipandwa kando ya mto usiokauka
Ukamea katika majira yote
Ukasambaza mizizi yako huku na huko
Hata pepo tatanishi zilipovuma
Uliyumba lakini hukuvunjika
Na baada ya miaka ishirini na kenda
Hatimaye umechanua
Niruhusu nikuchume sasa
Nikupeleke katika meza ya heshima
Iliyoandaliwa na Bwana kwa ajili yetu
Mbele ya wazazi wetu [emoji7][emoji7][emoji7]


0814e152-5e14-4316-9121-f8283bd7bce3.jpeg
 
Back
Top Bottom