Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna mtoto anampenda sana jamaa yake kupitiliza, basi jamaa anamtesa sana mtoto wa watu kila siku mtoto ananipigia simu analia kuulizwa na mahusiano yao . Post kama hii inamfaa aisome
Pole yake huyo mrembo mpatie na hii asome kwenye mahusiano inatakiwa uwe katili inapobidi mtu akikuzingua nawe unamzingua zaidi yake sio unalia kiboya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…