Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Nikisema nilikuona unamrukia mtu vichwa nabishiwa.View attachment 1221542Pole yake huyo mrembo mpatie na hii asome kwenye mahusiano inatakiwa uwe katili inapobidi mtu akikuzingua nawe unamzingua zaidi yake sio unalia kiboya.
Hahah! Nikimtumia post nyingi ataweza kuona nina malengo yangu mengine maana mapenzi yana nguvu sana......View attachment 1221542Pole yake huyo mrembo mpatie na hii asome kwenye mahusiano inatakiwa uwe katili inapobidi mtu akikuzingua nawe unamzingua zaidi yake sio unalia kiboya.
Hivi kwenye ule uzi upo mpendwa utupie japo mkono tujionee
Unaweza ukajikuta unaweka ushuhuda kwenye ule uzi.Hahah! Nikimtumia post nyingi ataweza kuona nina malengo yangu mengine maana mapenzi yana nguvu sana......
Ila umesema ukweli Hawachi π kuna watu ukionyesha upendo badala na yeye afanye kama wewe ila anatumia kama mwanya wa kukutesa . Sasa hapo Dawa ya jeuri ni kiburi
Dah! Sina budi kukubali πDunia kwa Sasa watu wanapenda uwongo kuliko ukweli yaani naanzaje kuleta utani kwa jambo serious kama hili
Hahah! Hakika BroUnaweza ukajikuta unaweka ushuhuda kwenye ule uzi.
umeifuta aiseeπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈDah! Sina budi kukubali π
ππππππ inini hiyo?umeifuta aiseeπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈ
Ile selfie.ππππππ inini hiyo?
Nawe nikakuone kuleIle selfie.
Naona tuu comments za wadau...
Nawe nikakuone kule
Tembelea Pm,nimeshakujibu mkuu.Mkuu nimekupm[emoji134]
Hahahahaha umeona ee huyo ndo cole halisiHahaha kwamba moyoni ni CR7 kwa njee ndio Kingi