Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Jamani 😂😂😂Kweli kabisa
Aaah bradha kunjua tuone kucha
Unastahili kabisa kichapo. Si kwa uzembe huo aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
Yaani unaogopa kutupia picha yangu hiyo nasubiri yako mrembo View attachment 1221536
Unaleta matani kazini 😂
Pamependeza...
Duh!!Yaani unaogopa kutupia picha yangu hiyo nasubiri yako mrembo View attachment 1221536
Naona mapambo yametaradadi 🔥🔥Acheni hizo mbona mie nimejipostView attachment 1221618
Hahahah baharia wa ghana asiidake hiiNaona mapambo yametaradadi 🔥🔥