Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Maposti yapi ulimisi?Basi mie nikajua na yeye anashabikia timu ya wananchi, karibu tena nilimis mapost yako[emoji38]
Anafundishwa katika vyuo vikuu si katika muktadha wa kiuongozi tu bali pia katika uwanja wa African Philosophy. Tulipata bahati ya kuwa naye !!!Maneno ya Hekima toka kichwa kilichotuliaView attachment 1221712
[emoji38][emoji38][emoji38]Maposti yapi ulimisi?
Memes au yale mengine? [emoji16][emoji16][emoji16]
Ila sawa tu[emoji120][emoji120]
Wakatalunya tutatoka salama leo hapo inter?[emoji849]Tukutane Anfield hapo baadayeView attachment 1221711
Mbona sasa alikwenda kumtwanga nduli kisa tu amrudishe swahiba wake Milton?