Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Falsafa nzuri japo mwenyewe alishindwa kuitekeleza. Alikuwa mkali balaa. Waliojaribu kumhoji hawakuishia pazuri. Hata Sokoinne nasikia alijichanganya pia kwa kuwa maarufu sana kwa wananchi na kuanza kuhoji hoji mambo...

#Zidumu Fikra [emoji351][emoji351][emoji351]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…