Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
#usisemeKwaNguvuHehehee akhu
Vya king kavificha. Wapo wakati mgumu. Barca anapigwa huko na ka messi kapo kapo tu kanakimbia
Hapana bro, nimejusaidia tuu.
Hapo hauingii gharama za maua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahahahahahahahaHii ni sehemu gani ya mwili mpendwa
Imebidi nirudie tena kutizima picha, mpendwa umenikunjia ngumiππ.hahahahahahahaha
Kwani unadhani unaona nn hapo?
#HiviUliling'oaAu
Njoo uwe wifi yangu.Natafuta bwana shomboshombo wa kipemba.
Hamna, nakupa tano.Imebidi nirudie tena kutizima picha, mpendwa umenikunjia ngumiππ.
kwa nani?Njoo uwe wifi yangu.
πππKwa kaka zangu achague yeye yupi anataka Kati ya Bradha, Davet, Simba ya buyenze au Capitalpool.kwa nani?
Shukrani mpendwaHamna, nakupa tano.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii ni sehemu gani ya mwili mpendwa
Mmmh furaha hii si bure Kuna jambo π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji12][emoji12][emoji12]Kwa kaka zangu achague yeye yupi anataka Kati ya Bradha, Davet, Simba ya buyenze au Capitalpool.
Ila mrembo amekuchagua wewe ππNaunga mkono hoja, SYB atamfaa! [emoji16][emoji16]
Ila mrembo amekuchagua wewe [emoji3][emoji3]
Kaka yangu Yegomasika unafeli ina maana mrembo humtaki.Hapana, wamembambikia! [emoji16][emoji16]
Hawachi mpendwa hututakii mema kaka zako siye. Dume hilo halafu. Huoni linatafuta shombe shombe wa Kipemba. Labda yule mzee wetu machachari wa drama za Kikorea aje aokoe jahazi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji12][emoji12][emoji12]Kwa kaka zangu achague yeye yupi anataka Kati ya Bradha, Davet, Simba ya buyenze au Capitalpool.
Kaka yangu Yegomasika unafeli ina maana mrembo humtaki.
Poti usichanganye madesa. Ni wewe unayetakwa. Leo tutajua ugumu wako kama ni wa makaa ya mawe au almasi kabisa. Kama una sifa za Upemba jitose tu [emoji16][emoji16][emoji16]Naunga mkono hoja, SYB atamfaa! [emoji16][emoji16]
Halafu mimi siyo kaka yako mpendwa Hawachi. Please usinibane kwenye hiyo zone ya ufriendzone. Kuzibiana ridhiki tu yaani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji12][emoji12][emoji12]Kwa kaka zangu achague yeye yupi anataka Kati ya Bradha, Davet, Simba ya buyenze au Capitalpool.