Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Poti usichanganye madesa. Ni wewe unayetakwa. Leo tutajua ugumu wako kama ni wa makaa ya mawe au almasi kabisa. Kama una sifa za Upemba jitose tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Afrika sisi bado sana. Kwa wenzetu huko hii ni kashfa kubwa utakuta wahusika wanapukutika tu kwa kuachia madaraka. Sisi huku mtu unakufa kama mbwa na hakuna anayejali. MV Skagit iliondoka na mpwa wangu mpendwa mpaka leo hatujui aliko japo alikuwa kwenye hiyo meli. Hakuna cha fidia wala bima. Watu wamekula rushwa wakajenga majumba baada ya kuruhusu limeli libovu ambalo halikupaswa kamwe kusafiri katika bahari kuu. Matokeo yake watu zaidi ya 400 wakapoteza maisha. Who cares? This is Africa. You will never walk alone !!!Siku tisa sasa miili ya wahanga wa ajali Feri ya Likoni haijaopolewa
sasa tuwahitaje? Waathirika? Waliopoteza maisha? NI "waadhirika" maana wameadhirika. mhanga ni shujaa, sijui kama unaelewa broo. Akiponea anaitwa "Manusura"www.jamiiforums.com
Wewe ni kaa la mawe tena ambalo halijapita hata katika moto wala presha yo yote. Laiiiini tu kama udongo wa mfinyanzi wewe poti. Kwema lakini? Jumatatu niliona Steelers waliwafanyia mauaji Cincinnati Bengals. Bila shaka ulifurahi mpaka gego la mwisho....Ugumu wangu wa Almasi poti! [emoji16][emoji16]
Kumbe dume aiseee sorry 🙏🙏🙏Hawachi mpendwa hututakii mema kaka zako siye. Dume hilo halafu. Huoni linatafuta shombe shombe wa Kipemba. Labda yule mzee wetu machachari wa drama za Kikorea aje aokoe jahazi [emoji16][emoji16][emoji16]
Haki nimecheka hii comment yako😀😀😀😀Halafu mimi siyo kaka yako mpendwa Hawachi. Please usinibane kwenye hiyo zone ya ufriendzone. Kuzibiana ridhiki tu yaani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hivi mwanaume anakuwaje mgumu kwa mwanamke yaani huwa sielewi mnao Sema ni wagumu.Si unamjua vizuri lakini kaka yako. Ni MGUMU; hata kama anangekuwa fake, ndio aibuke na Nguva kweli; duu! Astaghafurahi! [emoji16][emoji16][emoji1493]♂[emoji1493]♂
Huu mpira utauruka hadi King aje akupindue.Oohooooo ....Hapana, wamembambikia! [emoji16][emoji16]
Kwamba ukiamua unamyeyusha sio😂😂😂Hivi mwanaume anakuwaje mgumu kwa mwanamke yaani huwa sielewi mnao Sema ni wagumu.
Niko siriazi mpendwa. Ni nani ajuaye yajayo? Halafu wewe mi nakuwaziaga kuwa ni toto moja hatari jeupe la kishombe shombe hivi linalokaa Uarabuni. Halafu eti ndo unitie kwenye friendzone. Nefaaaa [emoji16][emoji16][emoji16]Haki nimecheka hii comment yako[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ni matani tu mpendwa Hawachi. In reality hawa ni walaini kuliko hata sisi tunaojiachia hapa kwa uhuru eti wapenda misambwax...mbwembwe tu. Tangu lini mwanaume rijali asiye na kasoro akawa mgumu mbele ya mwanamke?Hivi mwanaume anakuwaje mgumu kwa mwanamke yaani huwa sielewi mnao Sema ni wagumu.
Hahahaha yes mpendwa hata ukiwa chuma kazima ulainike.Kwamba ukiamua unamyeyusha sio😂😂😂
Hahahaha usihadaike na hiyo avatar mpendwa mzaramo wa Vingunguti kiembe mbuzi, Bradha ana nijua 😀😀😀Sina ushombe.Niko siriazi mpendwa. Ni nani ajuaye yajayo? Halafu wewe mi nakuwaziaga kuwa ni toto moja hatari jeupe la kishombe shombe hivi linalokaa Uarabuni. Halafu eti ndo unitie kwenye friendzone. Nefaaaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Hayo nitahakikisha mwenyewe. No friendzone na ubro please [emoji16][emoji16][emoji16]Hahahaha usihadaike na hiyo avatar mpendwa mzaramo wa Vingunguti kiembe mbuzi, Bradha ana nijua [emoji3][emoji3][emoji3]Sina ushombe.
Bora umeandika labla wataamini sijawahi kuona Mwanaume mgumu mbele ya mwanamke mfano Adam na hawa kula tunda na hatatokea.Ni matani tu mpendwa Hawachi. In reality hawa ni walaini kuliko hata sisi tunaojiachia hapa kwa uhuru eti wapenda misambwax...mbwembwe tu. Tangu lini mwanaume rijali asiye na kasoro akawa mgumu mbele ya mwanamke?
Siku ile ulifunguka vizuri sana. Uliposema nguvu ya ****. Hakuna mjanja hapo mpendwa [emoji16][emoji16][emoji16]Bora umeandika labla wataamini sijawahi kuona Mwanaume mgumu mbele ya mwanamke mfano Adam na hawa kula tunda na hatatokea.
Ati nini?Hehehee akhu
Vya king kavificha. Wapo wakati mgumu. Barca anapigwa huko na ka messi kapo kapo tu kanakimbia
😁😁Weka vyako sis.
#tuwekeeNaVileVyaKing