Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Hazard naona msambwanda umeongezeka tu wakati mwenzie Griezman alienda barca kumpongeza King Leo kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia
Jamaa juzi nimemuona kwenye Game na club Brugge kawa kibonge aisee