Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_20191003-103610.jpg
 
Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo ameungana na Serikali dhidi ya Dezydelius Mgoya (mkulima), aliyefungua kesi ya kikatiba kupinga Ibara ya 40 (2) na kudai kuwa “Tunalinda ukuu wa Katiba, kuhusu ukomo wa Rais wa Jamhuri uwepo kama kawaida"
-
Kwenye kesi hiyo, iliyopo katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Mgoya ameitaka Mahakama kuondoa Ibara hiyo ili Rais aweze kugombea zaidi ya awamu mbili, na akishinda aruhusiwe kuongoza nchi
-
Zitto amesema “Wajibu wa Chama cha Siasa ni kuhakikisha kuwa tunalinda Katiba, kesi hii ya mkulima inaweza kuleta shida ya kikatiba, ukomo wa mtu anayetumika Urais wa Tanzania uendelee kama ilivyotamkwa katika Katiba"
-
Pia, ACT-Wazalendo kupitia bodi yake ya wadhamini, kimeomba kuunganishwa kwenye kesi hiyo kuwa sehemu ya wajibu maombi dhidi ya MgoyaA
-
Kwenye kesi hiyo iliyopo mbele ya Jaji Benhajj Masoud, Mgoya amemshitaki Mwanasheria Mkuu wa Serikali ambapo ACT-Wazalendo kupitia wakili wake Jebra Kambole, kimeomba kuunganishwa na kuwa mshitakiwa wa pili
-
Jaji Masoud amesema, kama ACT-Wazalendo wanataka kuwa sehemu ya wajibu maombi, wanapaswa kumwandikia mkulima barua kupitia magazeti mawili yanayosomwa kwa kiwango kikubwa nchini ili kumjulisha
-
Kesi hiyo itaendelea Oktoba 10, na kwamba mlalamikaji (mkulima) anatakiwa kufika Mahakamani hapo
 
Back
Top Bottom