Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Hazard naona msambwanda umeongezeka tu wakati mwenzie Griezman alienda barca kumpongeza King Leo kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha bro bhana
Karidhika kama lukaku kwa kutimiza ndoto ya kuchezea timu pendwaJamaa juzi nimemuona kwenye Game na club Brugge kawa kibonge aisee
Suarez kama benzema kosa kosa tisa ya kumi ndo goli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sana mkuuUpo vizuri kumbe
Hahah inabidi aione hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cole bila CR7 maisha yaendi
Shuaini zao wale hasa hazard aliyeimbiwa mapambio ya kutosha kumfunika CR7Hazard naona msambwanda umeongezeka tu wakati mwenzie Griezman alienda barca kumpongeza King Leo kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia
Cheeei hizi news chungu sana kwake
Apewe muda labda atadeliver zile expectations za waliomsajiri ila mpaka sasa bado ni mchezaji machachari badala ya hodari au hatariJamaa juzi nimemuona kwenye Game na club Brugge kawa kibonge aisee
Just one in return don't ever mention Messi name[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]How many drinks would you take to be with me
Mkatalunya hii kitu ni hatari sana muda mwingi nikitaka kulala lazima niiguseHow many drinks would you take to be with me
Jamaa bata anaziwezea vizuri tu.View attachment 1222383
Umeona vitu anavyokula benzemaa
Karidhika kama lukaku kwa kutimiza ndoto ya kuchezea timu pendwa
Benzema fundi kote kote sioView attachment 1222383
Umeona vitu anavyokula benzemaa