myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Njema Bro, vipi hali?Habari zenu
Hahah hii haitajirudia tena, acha bradha apambane na huko[emoji23][emoji23][emoji23] Safi sana, nimefanya makusudi nijue kama bado upo kwenye mapambano ya kutafuta uhuru wako
Na mwisho wa siku atachukua Cardi B.. nmeona karbu tunzo nyingi za mwaka huu kwenye hiyo category wamempa Cardi B...Hao wote nimewaweka hapa wapo kwenye Category moja ya Best Hip hop.....
Dharau sana kumuweka Cardi B na Cole kwenye Category moja alafu Cardi B achukue
Salama bro, habar ya uzimaHabari zenu
Njema Bro, vipi hali?