Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahah! Wewe cheka tu ila Nyie timu cr7 wanazi sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ama kweli nyani haoni tendeleee hahaha

Timu CR7 huwa hatulazimishi mambo,kamwe hatuweki bifu ndefu na wachezaji au makocha alipo cr7,ila nyie uwiiiiiii Messi asipoanzishwa au kupishana maneno na kocha au mchezaji bifu kali linaibuka kwa mashabiki wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…