Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siku hizi majukumu yamenibana mambo mengi yananipita. Hata sijui kinachoendelea tena hapa..
Hapa bado kuna mgogoro wa wafuasi wa messi na CR7

Bila kusahau king kaponea chupu chupu kutoswa

Bradha kamfundisha ninge kuita sis kila mdada wa hapa huku yeye bradha akiomba picha,just imagine ninge katolewa nje ya ligi mapemaaa

Poti bado anasema yeye mgumu ila kabadili maua saiv tunarushiwa miti ya maua ikiwa na bonge la kopa

The happiness akapotea mazima kulipa kisasi kwa king ambae aliadimika ma wiki kama yoteee

Moud ana wiki tamu sana baada ya timu ya wananchi kujikwaa huko nchi za wenyewe,wakati huo huo jana liver imempa presha ya hali ya juu

Depal na hawachi wanatutishia picha yaan watu tunakesha kusubiria watupiepicha walizoahidian ila tunaambulia patupu

Anko siku hizi anaitwa babu na depal ila pamoja na kupewa cheo kikubwa bado anko anaongelea juisi ya parachichi kama kawa

Jirani bado saa yake nzima kabisa. Muda huu tunasubiria kupewa pole za kila aina

Tuna mkazi mpya ila mwenyeji saiv anaitwa mkokaa

Daemusin kaenda likizo huko zenji full kutandika urojo,mahanjumati,biriani

Fragaria kawa adimu kama kupanda kwa mshahara wa muzee baba kule magongoni

Ndugu yetu BAK bado yupo kwenye mpambano maridadi kabisa na mafisi ya buku saba

Mzee wa liver muzee ya KVant haonekani

Ni mie ripota wako bint mpole kabisaasie na makuu wala ugomvi na mutu yoyote
 
Hahahah umenichekeshana sana aisee, kwamba nimefundishwa kuita sis,,, acha tu nimejitia lock mwenyewe, sasa hv napambana kutoka huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Leo kweli una furaha sana Binti mpole. Umetoa ripoti nzuri sana na sasa nipo up to date kabisa. Nitaingiza rekodi zote hizi kwenye kumbukumbu zangu halafu nitaanza kufuatilia baadhi ya issues kwa ukaribu zaidi (mf. Malavidavi makali kati ya King na TH na Ninge kijana wa mjini kuingizwa mjini na Mpare mkorofi...)

Uzi huu dah [emoji7][emoji7][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Hahahah umenichekeshana sana aisee, kwamba nimefundishwa kuita sis,,, acha tu nimejitia lock mwenyewe, sasa hv napambana kutoka huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bro vipi tena? Hukuona mi jana nikimkaripia mpendwa Hawachi aache kabisa kuniita bro? Wewe kale Kapare kamekuburutaje mpaka mabinti wote humu unawaita sis? Unajua madhara yake lakini? Pole sana bro [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hahahhahaa, numby mtundu sana wewe, eti parachichi....Anko anafurahisha sana.....Kiujumla huu uzi ni wa kipekee sana
 
Acha tu bro, Mpare alikuja kama mstarabu flani hv,mtaratibu asie na makuu,,,kumbe moto wa kuotea mbali..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…