Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahah! Hapo kwa anko tu 🖑
 
Bro vipi tena? Hukuona mi jana nikimkaripia mpendwa Hawachi aache kabisa kuniita bro? Wewe kale Kapare kamekuburutaje mpaka mabinti wote humu unawaita sis? Unajua madhara yake lakini? Pole sana bro [emoji16][emoji16][emoji16]
Madhara yake ndio napambana nayo muda huu,ila sijachelewa sana bro, nmekuja kushituka kila sehem nmejilock...

Nikaona kumbe nafeli kumfata bradha [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…