Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Attention
Usihofu, utanikuta geti la chini.Siku nyingine ucheze na ratiba 😄
Kesho saa 16:30
Lord forgive me....
Snitch huyo6ix9ine
Nilichelewa sana kumfatilia jamaa, humu niliingia kusikiliza sababu ya Lady gaga nikajikuta nakumbana na madini hadimu basi kuanzia hapo nikaamua kumchimbua A-ZJamaa alifikiri sana Humu sometimes najiona Mimi kabisa humo
Mwanajeshi wa wapi huyu?
Hadimu?Nilichelewa sana kumfatilia jamaa, humu niliingia kusikiliza sababu ya Lady gaga nikajikuta nakumbana na madini hadimu basi kuanzia hapo nikaamua kumchimbua A-Z
Kuna watu wamebarikiwa Mkatalunya