Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Enzi zenu...[emoji23][emoji23]
FB_IMG_1570119810222.jpeg
 
Nilichelewa sana kumfatilia jamaa, humu niliingia kusikiliza sababu ya Lady gaga nikajikuta nakumbana na madini hadimu basi kuanzia hapo nikaamua kumchimbua A-Z

Kuna watu wamebarikiwa Mkatalunya

Kabisa Mkatalunya ni kama Mfano wa Leo Messi, Yaani wamezaliwa navyo hivi vitu hawahitaji nguvu kubwa

Daah Pole kidogo kwa kuchelewa kumfatilia anafanya sana nilikuwa naisogeza Money Trees hatari Aisee
 
Back
Top Bottom