moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kafanyaje huyu jamaa aisee?Snitch huyo
Nilichelewa sana kumfatilia jamaa, humu niliingia kusikiliza sababu ya Lady gaga nikajikuta nakumbana na madini hadimu basi kuanzia hapo nikaamua kumchimbua A-Z
Kuna watu wamebarikiwa Mkatalunya