Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sijambo mpendwa za kwako watoto na wajukuu hawajambo [emoji12][emoji3][emoji3]
Wajukuu mhhh. Bado sana huko. Labda miaka 20 hivi ijayo [emoji16][emoji16][emoji16]

Nilisikia eti unalea. Ni kweli mpendwa? Mi niliumia tu kimya kimya. Na ushombe shombe wako majamaa yanakulelesha tu [emoji22][emoji22]
 
Hahahaha sio kweli mpendwa ni utani wa ndugu zangu wa like,japo natamani kweli yaani kuwa na Katoto πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Nondo hii.

Ahsante bro.
 
Hahahaha sio kweli mpendwa ni utani wa ndugu zangu wa like,japo natamani kweli yaani kuwa na Katoto [emoji3][emoji3][emoji3]
Usiwe na shaka mpendwa. Kama kweli unataka katoto basi tunaweza kuongea na kuona la kufanya [emoji16][emoji16][emoji16]

(Bila shaka sasa waona kwa nini nilikataa mambo ya kuitwa bro..Mpendwa Hawachi[emoji23][emoji23][emoji23])
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…