Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kupigwa kitambo kilichopita siyo kosa, lakini kuendelea kupigwa hata baada ya kuamka toka gizani, kwangu naona tuna tatizo.
Kama nchi zinapigana vita kugombea kipande cha ardhi kwanini tusifanye hila tukachukua raslimali yetu?
Si ajabu tumeshawapa kila kitu lease ya miaka 99. Na mijitu michache imetajirikia hapo kwa mikataba ya aina hii. Sisi bado sana yaani [emoji36][emoji36]
 
Ifute aisee [emoji23][emoji23]
Ukizubaa hapa utajikuta unaitwa bro na kila binti halafu itakuwa imekula kwako. Mimi nina sis mmoja tu hapa akiwa vizuri nakula shikamoo yangu kwa heshima zote. Wengine wote wanikome sitaki kabisa kufungiwa kwenye hizi zones katili za brozone, friendzone, uhengazone na zingine zote [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Jizazi....

25% vs 75% [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
Hatari sana bro...nimepena sana ulivyosema Mwadui yenyewe imejengeka vizur sana, ila maeneo ya jiran sasa, hali inatisha

Kuna mtu mmoja alishawahi kusema kuwa huko ulaya (kwa Malkia kama sijakosea)kuna mji umejengwa kutokana na almas hii ya Mwadui,cha ajabu tembelea Shinyanga na viunga vyake utabaki kushangaa mji umechoka il hali una madini ya kutosha na migodi kibao.
 
Nimeshituka bro,mapambano yanaendelea ya kujitoa huko kifungoni..

Hapo kwenye uhenga, namuona kila siku Ankoo anapambana kweli kweli kujitoa huko [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawa Ndio Watu Hatari Usiowajua, Wanaonyonya Nguvu Za Wengine.
Inaweza kuonekana kama ni kitu cha kushangaza lakini huu ndio ukweli wapo watu wanaonyonya nguvu za watu. Watu hawa wana uwezo wa kumwandama mtu hadi anakufa bila kujua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…