Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Bro bro acha hizoUkizubaa hapa utajikuta unaitwa bro na kila binti halafu itakuwa imekula kwako. Mimi nina sis mmoja tu hapa akiwa vizuri nakula shikamoo yangu kwa heshima zote. Wengine wote wanikome sitaki kabisa kufungiwa kwenye hizi zones katili za brozone, friendzone, uhengazone na zingine zote [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2221][emoji2221][emoji2221]