Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Bro bro acha hizoUkizubaa hapa utajikuta unaitwa bro na kila binti halafu itakuwa imekula kwako. Mimi nina sis mmoja tu hapa akiwa vizuri nakula shikamoo yangu kwa heshima zote. Wengine wote wanikome sitaki kabisa kufungiwa kwenye hizi zones katili za brozone, friendzone, uhengazone na zingine zote [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Bro ningeNimeshituka bro,mapambano yanaendelea ya kujitoa huko kifungoni..
Hapo kwenye uhenga, namuona kila siku Ankoo anapambana kweli kweli kujitoa huko [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukizubaa hapa utajikuta unaitwa bro na kila binti halafu itakuwa imekula kwako. Mimi nina sis mmoja tu hapa akiwa vizuri nakula shikamoo yangu kwa heshima zote. Wengine wote wanikome sitaki kabisa kufungiwa kwenye hizi zones katili za brozone, friendzone, uhengazone na zingine zote [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
😅😅Kwema sana Bro naona unampambania Mzee wa hijab [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwema sana Bro naona unampambania Mzee wa hijab [emoji23]
Bro naona hata kucheka tayali mmefanana [emoji2][emoji2].. hiyo emoj[emoji28][emoji28]
[emoji28][emoji28]
Hatari sana bro...nimepena sana ulivyosema Mwadui yenyewe imejengeka vizur sana, ila maeneo ya jiran sasa, hali inatisha
Kuna mtu mmoja alishawahi kusema kuwa huko ulaya (kwa Malkia kama sijakosea)kuna mji umejengwa kutokana na almas hii ya Mwadui,cha ajabu tembelea Shinyanga na viunga vyake utabaki kushangaa mji umechoka il hali una madini ya kutosha na migodi kibao.
Bro ninge
Bro davet
Bro bradha
Bro cole
Bro capital
Bro moud
Labda bradha hapo [emoji23][emoji23]Bro ninge
Bro davet
Bro bradha
Bro cole
Bro capital
Bro moud