Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Wacha hizoAaaah wapi, you are not that old.
#YouYoungAndMoto
#miemkubwasanatu
#Mhengamie
Wacha hizoAaaah wapi, you are not that old.
#YouYoungAndMoto
Alamsiki
SYB, Ninge, KingSafi kabisa. Welcome to brother zone. Wonderful kaka
#hakaKamtihaniKazuri
#NatamaniKingAngejibuHivi
Hivyo fundisho kubwa hapa ni kuhakikisha unatumia muda wako vizuri ila kwa baadae usije ukajuta kwamba ulikuwa mjinga kwa kupoteza muda wako kwa kiasi hicho.
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kila tatizo lina maksudi yake, swala ni kusikiliza akili yako.
Matatizo ni fursa, inyakue
Matatizo ni ujumbe, usikilize
Matatizo ni sumaku inayotuvuta karibu na Mungu
Mungu Atukuzwe [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Caption thisView attachment 1223839
Nondo za kufa mtu dah !!!Matatizo yanaongeza nguvu
Jua kali ndio hufanya kivuli kuwa na thamani
Upweke ndio huleta thamani ya urafiki