Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Unanizeesha mpendwa.Ipo mpendwa wajukuu hawajambo
Mmeshaelwana na SYB
#TunatakaNusuCast
Unanizeesha mpendwa.Ipo mpendwa wajukuu hawajambo
Esta hulali binti?Kabla hujamaliza siku yako unatakiwa ujue ni watu gani ambao wanahitaji msamaha wako na wasamehe hata usipowaambia. Usichome daraja moto mara baada ya kuvuka mto. Nikwambie huwezi kujua utatumia daraja hilo mara ngapi tena kwa usafiri. Ipo faida ya kuishi maisha ya msamaha, hebu anza leo kuishi maisha hayo uone faida zake.
Jiulize ni wapi unakwama hadi ushindwe kutoa msamaha, je msamaha unaotaka kuutoa kwani unalipiwa? Kama msamaha unaotaka kuutoa ni bure, hebu samehe na kisha baki huru na maisha yako. Maisha yako hayatakuwa mabaya kisa umemeshindwa kusamehe, zaidi utajenga maisha ya mafanikio makubwa kwako.
Fanyia kazi haya na chukua hatua kuhakikisha ndoto zako zinatimia.
Bradha weekend hii kulala mapema kama kuku haifaiEsta hulali binti?
Siku imeendaje hapo.
Mzembe mwenyewe.Ila kwa kuwa umekuwa mzembe wa kuumiza kichwa basi ngoja nikupe jibu, mtu wa tatu alikwa ni muda.
Shwari kabisa.Bradha weekend hii kulala mapema kama kuku haifai
Siku imeenda salama.
Habari za ulipo?
Thats gudShwari kabisa.
#MamboYaOooooMtotoOoo
Gud umeisoma post wengine hawasomagi kabisaa ni kuchapa likes tuMzembe mwenyewe.
Yaani umetoa jibu hapo hapo post inayofuata 😀
Thats gud
#hahahahhaUmeanzauchokoz
hahahahahahah,Gud umeisoma post wengine hawasomagi kabisaa ni kuchapa likes tu
Itakua ni airport hii.Ngosha the don nani kaonaaaaa?View attachment 1223817
Hehehehee#MimiSijakuzungumzia
#KumbeNaWeweTayariEeeh 😀 😀
Sema unajikausha tu subiri anko aje ana macho imara mnoItakua ni airport hii.
#WaNgapiHuyo?Hehehehee
#hiziRamliZimeanzazamani
Hapa nipo na wewe dada kuna vitu sipaswi kuona bana.Sema unajikausha tu subiri anko aje ana macho imara mno
Aaaah wapi, you are not that old.Aiseee
#Mjukuuwafirstbornwanguwatano
Safi kabisa. Welcome to brother zone. Wonderful kakaHapa nipo na wewe dada kuna vitu sipaswi kuona bana.