Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Na sasa licha ya kuanza vibaya Solskjaer inadaiwa ana sapoti yote ya Bodi ya Manchester United ikiamini anaweza kubadili hali ya hewa klabuni hapo na kuirudisha United katika mstari kwa muda mrefu ujao.