The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Nitajitahidi Numby wangu, [emoji8][emoji8]Ujumbe mzuri sana uwe unatuletea nondo za hivi tuende sawa katika kula likes na elimu njema
Nitajitahidi Numby wangu, [emoji8][emoji8]Ujumbe mzuri sana uwe unatuletea nondo za hivi tuende sawa katika kula likes na elimu njema
Basi na mie muhengaa[emoji2320][emoji2320]Wahenga tu..
Andaeitini mtuacheView attachment 1223889
Aiseee!!Kama hayupo basi chukua hiki kizawadi kikusaidie kutuliza akili na mwili ulale vyema. Akija mi simo [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1223843
🤣🤣🤣🤣Ukizubaa hapa utajikuta unaitwa bro na kila binti halafu itakuwa imekula kwako. Mimi nina sis mmoja tu hapa akiwa vizuri nakula shikamoo yangu kwa heshima zote. Wengine wote wanikome sitaki kabisa kufungiwa kwenye hizi zones katili za brozone, friendzone, uhengazone na zingine zote [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
[emoji818][emoji818]Wahenga tu..
Andaeitini mtuacheView attachment 1223889
He!!Kazi kwenu walamba UlabuView attachment 1223887