moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hoho ni ho ho ho ho[emoji23][emoji23][emoji23]
Uko sahihi kamanda
View attachment 1223500
TOTTENHAM Hotspur imeanza kuwa na wasiwasi huenda mshambuliaji wake, Harry Kane akapeleka maombi ya kutaka kuachana na timu hiyo kwenye dirisha la uhamisho wa majira ya kiangazi mwakani.
Mkataba wa straika huyo utafika tamati mwishoni mwa msimu 2023-24, lakini mpango wa mshambuliaji huyo kwa sasa ni kushinda mataji, hivyo huenda akachukua jambo hilo na kutafuta timu itakayompa nafasi hiyo ya kutamba kwenye mataji.
Si muda wa kulia bali ni kuwakumbuka na kuwaombea kwa Mungu nafsi zao zipate pumziko la amani.
Basi,nafsi zetu zisiwasahau wazazi wetu walio tutangulia, muda wote tuwe pembeni yao kifikra na kimatendo mema.